Help/Msaada : +255739-606-600
  • F.A.Q's
  • Staff Mail
  • Contact Us
  • Kiswahili
emblem

TANZANIA SHIPPING COMPANY LIMITED

Logo
  • Home (current)
  • About Us
    • History
    • Organization Structure
    • Mission and Vision
    • Board Members
  • Services
    • Transportation of Passenger
    • Transportation of Cargo
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Press Release
    • Video Gallery
    • Speeches
  • Publication
    • Forms
    • Newsletter
    • Reports
  • Tender
  • Online Ticketing
  • Complains
LOgo
LogIn

Latest News

02 Oct 2025
MV NEW MWANZA YAFANYA SAFARI YA KWANZA MWANZA KWENDA BUKOBA Read More

02 Oct 2025
MV. LIEMBA KUONDOA ADHA YA USAFIRI MWAMBAO WA ZIWA TANGANYIKA Read More

02 Oct 2025
MABAHARIA WA MT SANGARA WAKUMBUSHWA MAJUKUMU YAO Read More

02 Oct 2025
MAANDALIZI YA UJENZI WA KIWANDA CHA KUJENGEA MELI KIGOMA YAFIKIA PAZURI Read More

Announcements

VACANCY 1.Principal Marine Engineer I – Nafasi 1 2.Principal Marine Engineer II – Nafasi 1 3.Senior Marine Engineer – Nafasi 3 4.Marine Engineer II – Nafasi 4 5.Principal Deck Officer II – Nafasi 1 6.Senior Deck Officer – Nafasi 2 7.Deck Officer II – Nafa

14 Jun 2024 View More

Launch of Online Ticket System

14 Dec 2017 View More

Frequently Asked Questions

How Can I Purchase Ticket Online View More

News

02 Oct 2025

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda leo tarehe 21 Septemba, 2025 ameshuhudia safari ya kwanza ya meli ya MV New Mwanza kutoka Bandari ya Mwanza Kusini iliyopo jijini Mwanza kuelekea Bandari ya Bukoba

02 Oct 2025

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO) Mej.Gen Mst. John Mbungo amewahakikishia wananchi wanoishi katika mwambao wa Ziwa Tanganyika na nchi za Jirani zinazopakana na ziwa hilo kuwa mara tu baada ya meli ya MV. Liemba

02 Oct 2025

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Meli Tanzania Ndg. Eric Hamissi amewakumbusha mabaharia wa meli ya MT. Sangara kuendelea kuilinda na kuitunza meli hiyo inayofanya safari zake kati ya Bandari ya Kigoma, Tanzania na Bandari ya Kalemie, DR Congo.

02 Oct 2025

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO) Ndg. Eric Hamissi pamoja na timu yaje ya wataalamu leo hii tarehe 10.09.2025 amekutana na Mkarandarasi wa Ujenzi wa Kiwanda cha Kujengea meli Dearsan Shipyard ya nchini Uturuki

02 Oct 2025

Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO) imefanya ziara ya kukagua maendeleo ya hatua za mwisho za ufungaji fanicha ndani ya meli ya MV.New Mwanza.

02 Oct 2025

Wanafunzi wapatao 120 wa Shahada ya Uzamili kutoka wa Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru wamesifu ujenzi wa meli mpya ya MV. Mwanza chini ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

  • ‹
  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • 5
  • 6
  • 7
  • 8
  • 9
  • 10
  • ›

Quick Links

  • Reports
  • Meli Newsletter
  • History
  • Mission and Vission

Related Links

  • Central Corridor Transit Transport...
  • Ministry of Transport
  • Mwanza Region
  • eGA
  • TPA

Contact Info

  • Postal Address
    P.O. Box 2385, Mwanza,Tanzania
  • Call Us : 028-250-3079
  • Email Address : info@tashico.co.tz
  • Website: www.tashico.co.tz

Social Media

  • Instagram
  • YouTube
  • Facebook
  • Twitter
  • Twitter
  • Instagram
  • Sitemap
  • Privacy Policy
  • Disclaimer

Ownership . © TANZANIA SHIPPING COMPANY LIMITED . All Rights Reserved
Designed and Developed by e-Government Authority. Contents maintained by TANZANIA SHIPPING COMPANY LIMITED