Usafirishaji wa Abiria

Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO) ni kampuni inayomilikiwa na serikali inayotoa huduma kwa abiria kwenye Ziwa Tanganyika, Ziwa Nyasa na Ziwa Victoria. Kampuni hii pia inahudumia Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Burundi, Malawi na Kenya.