Matangazo

TANGAZO LA KAZI

TANGAZO LA KAZI

Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL) inatangaza nafasi za kazi za mkataba 23 kwa Kada za Mabaharia katika Mchanganuo ufuatao:

  • 1.Principal Marine Engineer I – Nafasi 1
  • 2.Principal Marine Engineer II – Nafasi 1
  • 3.Senior Marine Engineer – Nafasi 3
  • 4.Marine Engineer II – Nafasi 4
  • 5.Principal Deck Officer II – Nafasi 1
  • 6.Senior Deck Officer – Nafasi 2
  • 7.Deck Officer II – Nafasi 6
  • 8.Diver II – Nafasi 5

Mwisho wa Maombi ni tarehe 27 Juni 2024

Unaweza Download Tangazo hapo chini ili kufahamu taratibu na vigezo.

Jun 14, 2024

Uzinduzi wa Mfumo wa Malipo ya Tiketi

Kampuni ya Huduma za Usafiri wa Majini inatarajia kuzindua Mfumo wa Malipo ya Tiketi utakaomuwezesha mteja kununua tiketi za safari za meli kwa urahisi popote alipo kwa kulipia tiketi yake kwa Wakala aliyesajiliwa na kampuni, kwa njia ya huduma ya mitandao ya simu na kwa kutumia huduma za simu na kibenki.

Dec 14, 2017