19 Nov 2026 UCHUNGUZI MV. MWANZA KUFANYIKA Soma zaidi
11 Mar 2026 MV NEW MWANZA YAZINDULIWA Soma zaidi
02 Oct 2025 MV NEW MWANZA YAFANYA SAFARI YA KWANZA MWANZA KWENDA BUKOBA Soma zaidi
02 Oct 2025 MV. LIEMBA KUONDOA ADHA YA USAFIRI MWAMBAO WA ZIWA TANGANYIKA Soma zaidi
TANGAZO LA KAZI
Uzinduzi wa Mfumo wa Malipo ya Tiketi
Jinsi gani naweza Kupata tiketi kwa njia ya Mtandao Angalia Zaidi
Serikali imesema inakusudia kuunda timu maalumu ya wataalamu kufanya uchunguzi wa kina kubaini chanzo cha ajali ya meli ya MV New Mwanza kugonga mwamba wa mawe maarufu kama Bismarck Rock, katika Ziwa Victoria jijini Mwanza.
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amezindua rasmi meli ya Mv New Mwanza, ambayo ni kubwa zaidi katika ukanda wa Afrika inayofanya kazi katika maji matamu, ikiwa na kimo cha ghorofa nne, urefu wa mita 92.6, upana wa mita 17 na uzito wa tani 3,500.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda leo tarehe 21 Septemba, 2025 ameshuhudia safari ya kwanza ya meli ya MV New Mwanza kutoka Bandari ya Mwanza Kusini iliyopo jijini Mwanza kuelekea Bandari ya Bukoba
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO) Mej.Gen Mst. John Mbungo amewahakikishia wananchi wanoishi katika mwambao wa Ziwa Tanganyika na nchi za Jirani zinazopakana na ziwa hilo kuwa mara tu baada ya meli ya MV. Liemba
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Meli Tanzania Ndg. Eric Hamissi amewakumbusha mabaharia wa meli ya MT. Sangara kuendelea kuilinda na kuitunza meli hiyo inayofanya safari zake kati ya Bandari ya Kigoma, Tanzania na Bandari ya Kalemie, DR Congo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO) Ndg. Eric Hamissi pamoja na timu yaje ya wataalamu leo hii tarehe 10.09.2025 amekutana na Mkarandarasi wa Ujenzi wa Kiwanda cha Kujengea meli Dearsan Shipyard ya nchini Uturuki