Latest News 11 Sep 2019

ZOEZI LA KUHAMISHA MAJI LAELEKEA UKINGONI KUELEKEA HATUA NYINGINE
Zoezi la kutoa maji nje ya uzio utakaotumika kutengenezea Slipway (Cofferdam)Linaendelea kwa kuelekea mwishoni..
Litakapokamilika utatolewa Udongo wote na kasha kupangwa Mawe kabla ya kutengeneza Sehemu ya reli kuelekea Ziwani.